Sunday, July 12, 2009

Kenyanz omboleza MJ's chipping

Wakenya wamejoin wasay wengine worldwide kuomboleza MJ's sudden chippin' on june 25. "Uko fresh lakini. Huskiii tulistuka mbaya mbof kusikia Maiko ameukata," sez Macho Wazi, the watchie who checkis woday levels at Masinga dam. "Afta tutinge hii dam juu maji imekuwa less, tulikuwa tunapanga kucontract MJ ah moonwalk hadi moon ahresearch kama atawai maji hiyo mtaa."
Mungiks pia wanalia kinyama. "Sisi kwanza tumepigwa dummy ya mwaka," tetas Pande Zote, mdosi wa new biz development. "Tulipoget 411 ati Mj anapanga comeback concerts kaa finje in Brito, chap chap tukasmell deal." Pande Zote xplains dat they showed Jacko's agent dat itabidi ahsign contract agreeing 2 chotea Mungiks kaa 10% ya doe zake frm kila show. "Hata visa application ya lawyer wetu iko Brito embassy tayari," she reveals.
Chix who tumia skin lightening creams r also feeling uchungu. Ngozi Lite, chairlady n founder of tha Kenya Guild of Dedicated Cream Consumers (KGDCC), sez sir kifo's timing imewabore. "Hii ni balaa. Tulikuwa tumeorganise conference bigi inaitwa 'I feel nothing' juu mahaterz wengi diss us 4 using em creams," she zushas. "Ilikuwa imebaki kidogo 2 MJ ahconfirm atakuwa main speaker alafu akadie, damn."
Finally, MJ's death has left a quoro of mathays who had planned a joint b-day bash hanging. "Katika harakati za kucut costs, wamatha wote hood yetu whose sons share birthdays amuad kuwapeleka out nxt weekend wajibonde na face painting na bouncing castles," sez Mama Jimmy. "Mal8ers, we were 2 surprise em by unleashing MJ awasomee bedtime stories."

1 comment:

  1. Haha Fethto. Niaje haukumention what we feel about MJ being white and he said it don't matter if you black or white? Ukosure Mungikis wangekuwa in that storo? Ukijua the way they are haterz? They would have probably kidnapped the guy and asked for a ransom though wanapewa compe kali by the sompirates.

    ReplyDelete