Sunday, November 15, 2009

Ministers losing benzes si poa 4 economy n jamii

Lobby group fulani imeonya nchi ya kwamba kutakua na results mbof afta ma ministers were downgraded from shindes n otha mandai za nguvu 2 passats. "Most of our members r experiencing post traumatic stress disorder ambayo itawazuia kuperform at their best," sez Kujeni Hapa, tha membership mdosi wa tha Kenya Association of Disenfranchised Cabinet Ministers, Assistant Ministers, PSs' and allied Gova Wadosis (KADCMAMPSAGW).
Hapa xplains members mob wamelose motisha ya wax and some r thinking of relocating to SA, where ministers wanaweza boti 2 rides whose total bei doesn't xceed 70% of their annual salos. "Beste kaa Trevor Manuel anapush biemer 750 series baana, na yake ni shadow compared 2 wenzake ambao wanasukuma shindes," Hapa tetas. "I won't name names but membaz wengine wamesend CVs 2 SA gova na wakipenya, si hata wewe unajua kile kitafuata." He adds dat brain drain might force gova ya Tinga na Ubako 2 import ministers soon, who won't kubali 2 push passats as expats.
Hapa pia ameask wasay not 2 invite ministers 2 be guest of honours in such funkys kama harambeees, pre wedding bashes, prize giving na hata in some xtreme cases, mazishi. "Hakuna member wetu ataitikia kujiaibisha by parking ndai kaa passat next to guests with mandai za nguvu, na showing yo constituents dat 'benz iko garage' can only take u so far," he xplains. Hapa sez those having funkys kwanza in Dec will have 2 jobo xtra hard to attract ministers kuwa their guests of honour. "Wakiprovide ndai ya power au chopper 2 transport memberz wetu 2 n from the event labda ndio itatoa nyoka pangoni."
Now that madere wa mathree na pia makarao wa traffic will be able 2 chokoza passats hata kama kuna bendera side ya bonnet kwa jam na 4 speeding respectively, Hapa anask gova 2 let ministers jobo from cager zao hadi kitu 11 when jam imedie, alafu they can jikata offo. "Actually, hii deal itahelp ma membaz wetu 2 heal from tha trauma juu sioni gova ikilipa 4 post traumatic counselling."

1 comment: