Sunday, May 17, 2009

Marela, mabeste, 2 blame 4 typing error kwa budget jnr

Ministry ya ganji imeblame marela na mabeste who visit da typing pool offo daily 4 the kenya chumes 9.2b typing error kwa budget jnr ile uhuru alichomolea bunge.
"Manze si unajua story za marela na mabeste. Wengine wanaleta CV za wakidi zao ndio wachorwe job kwa gova, wengine wanasaka boo flite, wengine wanajifanya eti ni salamu 2 kumbe nia yao ni kudowea teabe ya 4pm, shida kaa 40," semad vidole nyepesi, mdosi wa typing pool since dec 24, 1963.
Vidole ongezad tha worst doze was his KYMs thinking they can multitask, especially mafriday aftay when wadhii buzz them 2 panga mipango ya afa wax. "Cheki, hizi harakati za kumake na kuconfirm madate huchanganyisha matypists wangu, halafu malaterz wanatype vitu zao. Muhadhara charlie yangu, muhadhara."
Vidole semad he had tried kaziaing wageni from fikaing typing pool, but his KYMs tetad dat wakifika home jioni wanakuta kaa wamengojewa kwa cager, with some of them ending up mangaing supper ya saree and swatching over 4 tha nite. "Tuliona 2 yenyewe hatuwezi kujitenga from jamii juu tuko wax kwa ministry ya doe na tunanyonga tai. Afadhali tumalizane na hawa wadhii hapa offo, tuachie malandlord monopoly ya kututime kwa cager mtaani," vidole sed.
Lakini he confirmed itabidi akazie wageni kuingia typing pool time crucial ya kupresent budget kaa ile ya June. "Tutashow soldier asiruhusu mothii yeyote kupita reception. Instead he will buzz huku juu then either my kym will teremka downstairs 2 meet his mgeni or kaa hajiskii, atasay ako kwa meeting na minister."

No comments:

Post a Comment