Wen M7 bongad mbof kuhusu jang'os in Bongo in swa while gassing 'bout 254's beef with 256 over migingo, 1 muthii shukud his citizenship.
Maji Chumvi, mdosi of the NGO Migingo Dala dat he anzishad afta UG's jeshi pandiliad its flag in migingo, semad M7's use of swa ni evidence yeye si mu-U.G. "Ebu wewe niambie, ni waganda wangapi ushasikia wakibonga swa tangu uzaliwe? Nishow mmoja now now nikuwai ngiri," he challenged.
M7 was quoted tapikaing doze like, "Hakuna mjaluo ataenda kuvua samaki huko," "... mpaka inasunguka kisiwa." Chumvi xplains hizi statements zilimfanya anotice iko kitu. "Tunafaa kuchunguza histo ya M7 ndio tuthibithishe huyu mbuyu kweli ametoka wapi. Hajamarry wife mkenya, hakusomea kenya, hana marela kenya. Anamesea aji lugha?"
Chumvi observed ukichuja Y from Yoweri, unabaki na Oweri, na ukiondoa K from Kaguta alafu usunde M instead, inakuwa Magũta. "Coincidence? Wewe niambie," he ongezad.
Chumvi also sed dat M7 baadae insisting eti he was misquoted showed wathii ako na DNA same kaa 2 wanasiasa wa kenya."Si hata wewe unamesea wanasiasa wa kenya vile hudeny walibonga matope hata kama wamedabiwa live kwa tv," he xplained, "na cheki pia vile M7 hulike kudunga godfatha kaa 2 ma MP wetu wakiwa kwa harambee au matanga kwa constituency."
Chumvi semad migingo dala's 1st mpango was 2 saka doe za kuboti boats, torches na makasi ya kukata kata ug's bendera supper time while the ug soldiers wako juu ya matoke. "Lakini sasa tumepiga u-turn. Tutabonga na madonor wetu majuu tuone kama kuna vile wanaweza tupiga jeki ya kudo research kuhusu M7. Nanusia tutachimba info ya nguvu ya kuprove yeye si mganda. Alafu itabidi akome."
Sunday, May 24, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lol risto moja kali sana. Manze, nashuki hii lobby group imeangukia gold mine ya info coz ukiscan hii link ya Wikipedia its very clear that Museveni sio Mu- UG halisi, ati alizaliwa sidez za Rwanda.
ReplyDeleteBut what they are going to do with that info is what interests me because be he a bastard child of Kagame's lineage or from somewhere else, he still is the President of Uganda. . .stil mtu wa kunyamba when it comes to foreign policy.