DJ Raj wa Madagascar will chukua presidential social responsibility (psr) leave over Easter to fika Othumo and roga wadhii with his continental hit, from kanjora 2 orezo.
Tho DJ Raj ameanza tu majuzi kujienjoy na ma bouncers from jeshi, pre-inspected madondo, ndai bulletproof, kuitwa 'your excellency' and 24-hr uinterrupted woday, elec na net supply, hangeweza kuwaste chance ya kuonyesha nyauthi wote dat ako na skillz that pay bills and a softer side.
MC Chungwa, a Kisoom city based promoter and a distant rela 2 both Obash and Tinga, semad DJ Raj chaguad KSM coz of what cut there after Dec '07. "Cheki, cheki, nani world wote hakumbuki that Keysoom ndio noma ilizuka kwanza baada ya rela wangu Tinga kugongwa na ECK?" He ulizad. "Na ingawa Tinga hakufanywa prezzy kama DJ Raj after tuzushe deadly, DJ Raj anafeel uchungu wetu na ndio ameamu...? ameamua kudo show yake hii mtaa," he added.
DJ Raj will dandia a meli kesho from MG and fika Coasto kaa Thursday hivi, alafu afly 2 Othumo. "My guy huskii DJ Raj ako na joto ya kuperform dala mpaka hatakuwa na time ya kuvisit Fort Jesus au kukunywa mnazi," MC Chungwa confirmed. DJ Raj will use his time melini 2 piga tizi and jaribu various remixes of from kanjora 2 orezo in mugithi, benga, genge, and otha versions.
Inaonekana DJ Raj hatishiwi na the shipjackers causing mayhem near Coasto. "Kama DJ Raj anaweza chuja prezo mzima who was pia mdosi wa military, makauzi watado?" MC Chungwa ulizad. But he toboad that the DJ atasindikizwa na makarao 'just in case hao mafala watajaribu kusanya vifaa vya d-jaying kama CDs na maheadphones.'
Lakini DJ Raj won't perform elsewhere juu ni muhadhara kuwacha nchi bila orezo 4 mo than a week, especially kaa ex-orezo bado ako hai na ni adui. "Dj Raj atado show yake Friday usiku alafu ajikate home Sato ngware juu si hata wewe unaelewa huwezi wacha cager ya nguvu kaa state hse bila mwenyewe. Huku ni Africa, kizee," the MC malizad.
Sunday, April 5, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment