Nai pips no doubt wamekatsika sana na this scandal ya woday rationin', lakini mbuyu mmoja thinks kuna hidden opportunities ndani ya hii noma. "Bebaing a 20-litre mtungi kutoka kwa gate hadi bafu ya cager yako ni tizi muafaka 4 mwili yako yote, kwanza ma biceps," claims Glasi Kaquarter, a chlorine, soray, chalk supplier 2 kanjo who now hana bizna. Kaquarter ongezas dat Nai pips tumekuwa walazy kinyama. "Hauniamini nini. Cheki, tunakwachu lift hata kama tunashoot 1st flr! Hii tizi itatufanya tuwe active mdogo angalau tuishi miaka mob."
Kaquarter sez hii rationin' ni gap deadly ya bizna for mayouth. "Maboys na madem wale watado bizna ya kundonyo maji will saidia gova 2 create 500k jobos kila mwaka, na pia watapunguza usotaji na ukauzi."
Kaquarter, amabaye anapanga kuwa kanjora soon, has axed Nai chix 2 lower their standards kiasi wen sororaing a msay on their 1st date. "Ukweli, macharlie wengi hii time hawataweza kupiga passport shower daily, whacha hata full shower. So itabidi wamix roll on na jasho," he confesses. He ombas mashorays wasichuje jamaas ambao watatupa kiasi. "Surely, there's mo 2 a msay than usafi au sio."
Kuna vile Nai pips hawalike kuswim unless wen they r in coasto, na hii rationing ni chance yetu ya kulearn s'thin brandy. "Not only will we jifunza kuswim n' ongeza hii skill kwa CV, but simultaneously tutasafisha mwili kaa tunaogelea," he xplains.
Lakini Kaquarter sez 2 fuly faidika wasay tafadhali wasinyore ndani ya pool.
Sunday, July 19, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment