Brito imeamua kucounter sue kenya afta mau mau vets pelekad case kortini in brito on tue demanding munde 4 stress they pitiad in concentration camps during emergency period ya 1952-60.
Joseph johnson, a retired mzae who used 2 shona homeguards' uniforms during dayz of ukoloni, ako nai as brito's star witness. He sez brito iko na reasons kadhaa why kesi yao ni sugu.
"Is vipi. I say, tulileta kingoso kenya kwa meli alafu tuka waachia roho safi bila kuwalipisha," he xplains. "Lakini afta 63 mukaichafua kabisa: ati sasa ni nailobi badala ya nairobi, fees badala ya fish, sbrint badala ya sprint, daaamn!" He ongezas dat sheng imemake ish worse. "Tafadhali, tuheshimiane boss. Usitaje hiyo jina mbele yangu."
Mbuyu jose sez dish ni reason 2. "Cheki, english breakfast inabamba kinyama. but zee, sasa not only did u chuja it, but hata b-fast raondi hii hamumangi kwa cager," he caused. "Eti munalike chai ya offo ikisindikizwa na ndao, chapo au samo." Jose adds mabeste linking up afta wax 4 kahawa au barley instead of hi tea pia haimjazz.
Tatu ni dress code. "Wakati tulikuwa tunarun show hii mtaa macharlie wote walikuwa wanadunga kinyasa na kunyolewa kijeshi," mbuyu jose kumbukas. "Lakini sasa macharlie including makarao wanachapilia long'i na lo, pia wanasuka nywele! scandal charlie yangu, scandal." He adds dat jamaaz saggin jeanoz in tao wana muudhi ni aji. "At first nili jijazia wasay waliboti jeano oversize kimakosa alafu mashop zikadinda kuxchange. Afta kuuliza uliza nikashoiwa kwani naishi wapi."
Mbuyu jose sez 4 now those 3 mashtakas will form brito's case - but ongezas brito is willin 2 drop 'em if the mau mau vets kill their kesi. "Beste, mbona mnatafuta beef na sisi yet brito huboti valentine's day roses mob kutoka kenya kila mwaka?"
Sunday, June 28, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment